HabariMilele FmSwahili

Chiloba :Sajili ya wapiga kura itakayotumika Agosti 8 ni halali

Sajili ya wapiga kura itakayotumika Agosti nane ni halali. Afisa mkuu wa IEBC Ezra Chiloba anasema sajili hiyo ya wapiga kura milioni 19.6 imefanyiwa ukaguzi wa kutosha na haina dosari inavyodaiwa. Anasema tayari sajili hiyo imechapishwa katika gazeti rasmi la serikali kuruhusu umma kuikagua. Chiloba ametoa hakikisho hilo baada ya shirika la AFRICOG kudai IEBC inaendesha shuguli zake bila kuwahusisha washikadau wote.

Show More

Related Articles