HabariMilele FmSwahili

Hatua ya Kalonzo kususia mdahalo wa wagombea wenza yatetewa

Viongozi wa muungano wa NASA wamemtetea mgombea mwenza wa muungano huo Kalonzo Musyoka kwa kususia mdahalo wa jana wa wawagombeaji wenza wa urais ulioandaliwa na vyombo vya habari. Mbunge wa Dagoreti kaskazini Simba Arati amekiri kuwa hatua ya wagombeaji hao kususia mdahalo haikufaa. Hata hivyo amedai hatua ya Kalonzo ilichochewa na uamuzi wa naibu rais William Ruto kujiondoa.

Show More

Related Articles