HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Rwanda inatumia mbinu tofauti kupunguza gharama uchaguzini

Nchi ya Rwanda itafanya uchaguzi wake siku nne tu kabla ya Kenya kufanya uchaguzi wake mwezi ujao.
Lakini kinyume na jinsi mambo yanaonekna kwenda sege mnege hapa Kenya, nchini Rwanda mikakati imewekwa kuhakikisha kuwa uchaguzi wenyewe utaendeshwa bila tatizo lolote.
Hiyo ikiwa ni pamoja na kuchapishwa kwa karatasi za kupigia kura, ambazo bado zinachapishwa nchini humo.

Show More

Related Articles