Elections 2017HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Makundi 20 ya Mtandao wa Whatsapp yanachunguzwa

Zaidi ya kurasa 20 za mtandao wa kijamii wa Whatsapp zinachunguzwa kwa karibu baada ya kubainika zinatumika kuuchochea umma.
Mwenyekiti wa tume ya uwiano na utangamano wa kitaifa NCIC Francis Ole Kaparo amesema tume hiyo imebaini wakenya wanatumia mitandao kuibua hofu na sasa tume hiyo itashirikiana na halmashauri ya mawasiliano nchini ca kuwakabili wahusika.
Wakati huo huo idara ya usalama imeahidi maandalizi yake kuhakikisha usalama unadumishwa kote nchini anavyoarifu Caleb Ratemo.

Show More

Related Articles