Elections 2017HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Mdahalo wa wawaniaji wenza : Mwaniaji mmoja pekee ndiye aliyefika

Japo mdahalo wa wagombea wenza wa wagombea wa urais ulianza, naibu rais William Ruto hatohudhuria mdahalo huo.
Kulingana na msemaji katika ofisi ya naibu rais, wahusika na wanaoratibu shughuli hiyo nzima hawakumhusisha Ruto hivyo basi hakuwa na budi ila kutohudhuria kutokana na kile alichokitaja kama kukosa kuhusishwa kando na kutumiwa tu barua ya mwaliko.
Kalonzo Musyoka pia hakuonyesha ari ya kushiriki mdahalo huo.

Show More

Related Articles