Elections 2017HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Rais asema Al-Shabaab kutokomezwa na KDF Msitu wa Boni

Rais Uhuru Kenyatta ametoa onyo kali kwa wenyeji wa maeneo ya pwani wanaolinda wafuasi wa kundi la wanamgambo wa alshabaab, akisema maafisa wa ulinzi hawatasaza yeyote.
Akizungumza katika eneo la Kizingitini na Mpeketoni kisiwani Lamu, Kenyatta ametoa hakikisho kwamba wanajeshi wa Kenya watafanikiwa kuwamaliza wanamgambo hao ndani ya msitu wa Boni, na kuagiza waangamizwe na kuzikwa huko.
Kenyatta aidha amewataka wenyeji wa kaunti hii ya Lamu kushikiana na Jubilee wakati wa uchaguzi, ndiposa apate awamu nyingine ya uongozi.

 

Show More

Related Articles