HabariPilipili FmPilipili FM News

Bunge La Kumi Na Moja Lalaumiwa Kwa Kutofanya Marekebisho.

Bunge la kumi na moja limelaumiwa kwa kuzembea kwenye jukumu lake la kuifanyia marekebisho katiba.

Akiongea na waandishi wa habari mwanasiasa  wa ukambani Kalembe Ndile  amesema  bunge la kumi na moja limeshindwa kuifanyia marekebisho muhimu sheria ya nchi jambo ambalo limemfanya mahakama kukosa misimamo thabiti katika uamuzi.

Kalembe aliyekuwa kwenye ziara ya kisisa ya  majuma mawili hapa mkoani pwani  amebaini kuwa siasa za eneo la pwani zimekomaa na kuwa wananchi  wamekubali kuunga mkono serikali  kutoka na maendeleo ambayo serikali ya jubilee imefanya ndani ya kaunti za pwani.

Show More

Related Articles