HabariMilele FmSwahili

Huenda serikali hikafunga mitandao ya kijamii wakati wa uchaguzi

Huenda serikali hikafunga mitandao ya kijamii wakati wa uchaguzi. Mkuu wa mamlaka ya mawasiliano nchini Francis Wangusi anasema si lengo la serikali kuzima mitandao ila iwapo itatumiwa kuzua rabsha na uchochezi basi huenda ikalazimika kufunga mitandao. Naye mwenyekiti wa tume ya uwiano Francis Ole Kaparo anasema wasimamizi wa kurasa za whatsapp watakabiliwa kisheria iwapo kurasa hizo zitatumika kwa uchochezi. Kaparo anasema kura zaidi ya 20 za whatsapp zinafuatiliwa kwa karibu baada ya kuhusishwa na uchochezi.

Show More

Related Articles