HabariMilele FmSwahili

Boinnet: Idara ya polisi itatumia mamlaka yake kuwakabili wachochezi

Idara ya polisi itatumia mamlaka yake kuwakabili wanaolenga kutumbukiza taifa katika ghasia za uchaguzi. Inspekta Jeneral wa polisi Joseph Boinnet anasema vitengo vyote vya polisi vitajumuisha kwenye oparesheni ya kulinda usalama. Akizungumza katika mkutano ulowaleta pamoja baadhi ya wadau wa uchaguzi nchini, kaimu waziri wa usalama Fred matiangi naye amewaonya wanasiasa wanaowatumia wafuasi wao kuwavuruga wapinzani wao akisema hakuna atakayesazwa.

Show More

Related Articles