HabariMilele FmSwahili

Watu 2 wafariki baada ya gari lao kutumbukia katika mto Tana

Watu wawili wa familia moja wamefariki katika mto Tana baada ya gari lao kutumbukia kwenye mto huo katika eneo la Mororo kaunti ya Garisa. Ajali hiyo inaarifiwa kutokea mwendo wa saa tatu unusu usiku wa kuamkia leo. Walioshuhudia ajali hiyo wanasema juma la watu wawili waliokolewa wakiwa hai huku wengine wawili wakisalia.

Show More

Related Articles