HabariMilele FmSwahili

Huenda shughuli muhimu zikasitishwa kaunti ya Trans Nzoia

Huenda shughuli muhimu zikasitishwa kote katika kaunti ya Trans Nzoia baada ya muda wa ilani ya mgomo iliotolewa na wafanyikazi kukamolika leo. Wafanyikazi hao wanalalamikia kucheleweshwa mishahara ya marupurupu yao. Kiongozi wa wafanyikazi hao Eliud Navimba ameishutumu serikali ya kaunti kwa ufujaji mkubwa  wa pesa za umma. Kauli yao imeungwa mkono na viongozi wa kaunti hiyo wakidai serikali ya kaunti imefeli kukabili ufisadi

Show More

Related Articles