HabariMilele FmSwahili

Mandago apuuzilia mbali utafiti wakuonyesha Buzeki anaongoza kwa umaarufu

Gavana wa UasinGishu Jackson Mandago amepuzilia mbali utafiti wa INFOTRAC ulioonyesha mpinzani wake Zadekai Buzeki anaongoza kwa umarufu. Akiongea eneo la Merwet Mandago amesema wanachi wa UasinGishu ndio watakaoamua kiongozi wao Agosti nane. Kulingana na Info track Buzeki anaongoza kwa asilimia 54 huku Mandago akipata asilimia 42.2

Show More

Related Articles