HabariMilele FmSwahili

Eugene Wamalwa aisuta mrengo wa NASA

Kwengineko waziri wa maji Eugine Wamalwa ameusuta mrengo wa NASA kwa misururu ya kesi dhidi ya IEBC akiwataka kuipa tume hio muda mwafaka wa kutekeleza majukumu yake. Wamalwa anahoji kuwa tume hio imekubwa na chanagamaoto si haba kwenye azma yake ya kuanda uchaguzi wa hapo agosti 8. Anadai upinzani una njama ya kuyumbisha  taratibu za kuanda uchanguzi ili kuonyesha tume hio imefeli kwenye majukumu yake.

Show More

Related Articles