HabariMilele FmSwahili

Mawaziri 2 walazwa kwa kuonyesha dalili za kipindupindu

Mawaziri wa fedha Henry Rotich na Adan Mohamed wa viwanda ni miongoni mwa watu zaidi ya 10 waliolazwa katika hospitali ya Nairobi baada ya kudhihirisha dalalili za kuwa na maradhi ya kipindupindu. Mawaziri hao wamedhihirisha dalili hizo baada ya kuhudhuria hafla ya onyesho la kibiashara leo. Watu kadhaa wakiwemo wafanyikazi katika hoteli ya Jacaranda pia wamelazwa katika hospitali kuu ya Kenyatta.

Show More

Related Articles