HabariMilele FmSwahili

Wagombea ugavana Mombasa wasusia mjadala ulioandaliwa na watengenezaji bidhaa

Wagombea 3 wa ugavana Mombasa wamesusia mjadala ulioandaliwa na muungano wa watengezaji bidhaa kujadili ajenda yao ya uongozi. Ni mgombea wa Jubilee Suleiman Shahbal pekee ambaye alihudhuria mkao huku gavana Ali Hassan Joho, seneta Hassan Omar Sarai na Hezron Awiti wakisusia mkao huo.Ni hali ambayo haikuwaridhisha wafanyibiashara hao kama anavyosimulia mwenyekiti wao Vinal Shah.

Show More

Related Articles