HabariMilele FmSwahili

Rais Kenyatta ahudhuria mazishi ya GG Kariuki

Rais Uhuru Kenyatta anawaongoza waombolezaji wengine wanaohudhuria mazishi ya aliyekuwa seneta wa Laikipia GG Kariuki nyumbani kwake huko Rumuruti. Usalama umeimarishwa zaidi katika eneo hili kufuatia mashambulizi kadhaa ambayo yameripotiwa. Naibu spika wa bunge la seneti Kembi Gitura amemiminia sifa tele kiongozi huyo ambaye anasema mchango wake utakumbuka katika bunge hilo. Kauli hii imeunga mkono na mbunge wa Laikipia mashariki Mutahi Kimaru ambaye anasema wakimpa buriani mwendazake juhudi zake kuleta amani Lakipia zitakumbukwa.

Show More

Related Articles