People Daily

Jaji William Musyoka ajiondoa katika kesi ya NASA kupinga mfumo utakaotumiwa na IEBC kwenye uchaguzi

Jaji wa mahakama kuu William Musyoka amejiondoa katika kesi iliyowasilishwa na muungano wa NASA kupinga IEBC kutumia mfumo mwingine endapo ule wa elektroniki utafeli kwenye uchaguzi mkuu. Jaji huyo anasema amewahi kuhudu na mmoja wa vinara wa muungano huo katika shirika la sheria. NASA kwenye kesi hiyo inahoji IEBC haikuhusisha umma na hivyo wanatilia shaka mfumo huo mbadala.

Show More

Related Articles