HabariMilele FmSwahili

Mabango ya mgombea ugavana Mombasa Awiti Bolo yabomolewa

Mabango ya mgobemaji wa ugavana kaunti ya Mombasa Awiti Bolo yamebomolewa na kuharibiwa na watu wasiojulikana eneo Bakstan katika eneo bunge la Mvita. Akilaani tukio hilo, Awiti ametaka polisi kuanzisha uchunguzi haraka na kuwachukuliwa hatua wahusika. Kwa muda mgombea huyo amekuwa akilumbana na kaunti ya Mombasa kuhusianana sehemu za kuweka mabango yao.

Show More

Related Articles