HabariMilele FmSwahili

KNCHR kutoa ripoti ya jinsi hali ilivyo nchini uchaguzi ukikaribia

Tume ya kitaifa ya kutetea haki za binadamu inatarajiwa kutoa ripoti yake kuhusiana na hali ilivyo nchini uchaguzi ukikaribia. Tume hiyo imekuwa ikifuatilia kwa karibu kampeini za wanasiasa na inatarajiwa kuweka ripoti ya kina kuhusu maandalizi ya uchaguzi. Tume hiyo kuptiia naibu mwenyekiti George Morara imekuwa ikionya kuhusu kutumiwa maafisa wa umma wakiwemo machifu na maniabu wao kusambaza chakula cha msaada na bidhaa zingine kuwaraia wakaazi wa maeneo husika kupiga kura wagombea fulani.

Show More

Related Articles