HabariMilele FmSwahili

Peter Kenneth akashifu visa vya wanasiasa kuzomewa wakati wa kampeni

Visa vya wanasiasa kuzomewa maeneo tofauti nchini vinaendelea kushtumiwa idara ya usalama yatakiwa kuapa usalama wa kutosha wagombea mbalimbali wanaouza sera zao kwa wananchi. Mgombea wa ugavana hapa Nairobi Peter Kenneth amesema mwelekeo huu unatishia kuiweka taifa pabaya zikisalia siku 24 tu kabla ya kuandaliwa uchaguzi. Amewasihi wakenya kutokubali kugawanya na wanasiasa na kuwaruhusu kuuza sera zao popote.

Show More

Related Articles