HabariMilele FmSwahili

Wauguzi washinikiza huduma ya afya kurejeshwa chini ya serikali kuu

Wauguzi nchini sasa wanashinikiza kurejeshwa huduma za afya chini uya usimamizi wa serikali kuu. Katibu mkuu wa muungano wa wauguzi huko Bungoma George Mushindi anasema magavana wameshindwa kusimamia sekta hiyo. Wameapa kuendelea na mgomo hadi matakwa yao yatakapoangziwa.

Show More

Related Articles