Elections 2017HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Polisi watifua vitoa machozi, msafara wa upinzani ukizomewa, Thika

Muungano wa NASA hii leo umetua katika maeneo kadhaa kaunti ya Muranga na Kiambu ambapo walisaka kujipigia debe kuwarai wenyeji kuwachagua katika uchaguzi ujao.
Hata hivyo muungano huo ulipata mapokezi baridi na hata kuzomewa na baadhi ya wenyeji wa maneno ya Thika na Githurai.
Hali iliyowalazimu viongozi wa NASA kukatiza hotuba zao na kuondoka mara moja.

https://www.youtube.com/watch?v=gaq6Lvdj6_Y

Show More

Related Articles