Elections 2017HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Tume ya maridhiano yaonya kuwachukulia hatua wazusha ghasia

Tume ya uiano na maridhiano NCIC hii leo imetoa orodha ya majina ya kurasa za makundi kwenye mitandao ya kijamii inayotumiwa na wakenya kusambaza jumbe za chuki.
Akiyataja majina ya kurasa hizo mwenyekiti wa tume hiyo Francis Ole Kaparo alisema wamegadhabishwa kama tume ya uwiano na mienendo ya kuibua rabsa katika kampeni hususan jana katika maeneo ya Baringo, Kisumu na leo katika maeneo ya Thika

https://www.youtube.com/watch?v=E2eLkXlA46c

Show More

Related Articles