HabariMilele FmSwahili

Serikali yatoa shillingi bilioni 5.2 kukamilisha mkataba wa kuwalipa wahadhiri wa vyuo vikuu

Serikali imetoa shilingi bilioni 5.2 zilizokuwa zimesalia kukamilisha mkataba wa bilioni 10 wa kuwalipa wahadhiri na wafanyikazi wa vyuo vikuu. Katibu katika wizara ya elimu Collete Suda anasema wizara ya fedha imeidhinisha kutolewa kwa fedha hizo kabla ya mwisho wa mwezi huu. Ni hakikisho linalowadia baada ya wahadhiri hao kushiriki maandamano leo wakilalamikia kutelekezwa na serikali.

Show More

Related Articles