HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Maafisa 6 wa usalama wauawa na majangili , Laikipia

Hali ya taharuki imetanda katika eneo la laikipia magharibi baada ya maafisa sita wa polisi kuuawa na wengine sita kujeruhiwa vibaya baada ya gari walimokuwa wakisafiria kuvamiwa na majangili katika eneo la kamwenje.
Kulingana na dereva wa gari hilo,maafisa hao walivamiwa na majangili hao kwenye mpaka wa Baringo na Laikipia.

https://www.youtube.com/watch?v=MknRI_BKwqQ

Show More

Related Articles