HabariMilele FmSwahili

Wakenya wahimizwa kufanya uchaguzi wa amani kwa heshima za mwendazake Nkaiserry

Tufanye uchaguzi mkuu kwa amani kama heshima kwa mwenda zake jenerali mstaafu Joseph Nkasaine Ole Nkaissery. Ndio ujumbe wa waliosifia maisha ya Nkaissery katika ibada ya wafu iliofanyika katika kanisa la Nairobi Baptist. Waliozungumza wamemtaja Nkaissery kama mkenya aliyejitolea kulihudumia taifa. Rais Uhuru Kenyatta amelitaja kifo cha Nkaissery kama pigo kubwa kwa serikali yake.

Show More

Related Articles