HabariMilele FmSwahili

NCCK: Huenda mashambulizi yanayoshuhudiwa nchini kuchochewa kisiasa

Mashambulizi yanayoshuhudiwa nchini wakati huu huenda yamechochewa kisiasa. Viongozi wa kidini nchini sasa wanahusisha maafa yalioshuhudiwa Baringo pamoja na Laikipia kuwa na uchochezi wa wanasiasa. Kauli hii inawadia siku moja pekee baada ya maafisa sita wa polisi kuuwawa huko Laikipia katika shambulizi lililolenga kijiji cha Kamwenje.

Show More

Related Articles