Elections 2017HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Kando na Urais, karatasi zingine za uchaguzi kuwasili juma lijalo

Karatasi zitakazotumika kwenye kura ya Agosti tarehe nane zinatarajiwa kuanza kuwasilis nchini tarehe 18 mwezi huu wa Julai, siku 21 kabla ya debe.
Kwa mujibu wa mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati, karatasi za kupigia kura kwa nyadhifa za chini mbali na ile ya urais zinaendelea kuchapishwa na tayari nakala milioni ishirini zimechapishwa.
Anders Ihachi na taarifa hiyo ambapo pia tunaangazia mstakabali wa rufaa ya kesi kuhusu uchapishaji wa karatasi za urais ambayo itasikizwa kesho.

Show More

Related Articles