HabariPilipili FmPilipili FM News

Naibu Rais Ahimiza Umoja Ili Kumuenzi Marehemu Nkaissery.

Naibu wa Raisi William Ruto amehimiza wakenya kudumisha Amani  katika uchaguzi  mkuu ujao, ili kutimiza mapendekezo yake aliekuwa waziri wa usalama wa ndani Joseph Nkaiserry

Akizungumza katika ibada ya mazishi ya aliekuwa waziri wa usalama wa ndani Joseph Nkaiserry  katika kanisa la Baptist Nairobi  ,Ruto amemtaja Nkaiserry kama kiogozi mchapa kazi

Raisi Uhuru Kenyatta ,mama wa taifa Margaret Kenyata , , na  Inspeka generali  wa polisi Joseph Boinet ni miongoni mwa viongozi wanaohudhuria ibada hiyo jijini Nairobi

Show More

Related Articles