HabariPilipili FmPilipili FM News

Watu Sita Wadaiwa Kutekwa Nyara Na Al Shaabab Lamu

Watu sita  akiwemo kiongozi  mmoja w a gazi za juu serikalini wadaiwa kutekewa nyara na kundi la Alshabab katika barabara ya  Milihoi  – mpeketoni  wakielekea Witu kaunti ya Lamu.

Mkuu wa kikosi cha polisi cha utawala  Ukanda wa pwani James Akoro amethibitisha kutekwa nyara kwa gari hilo aina ya Pajero lakini haijafahamika watu waliodani ya gari hilo kwa sasa.

Show More

Related Articles