HabariMilele FmSwahili

Raila aahidi kuitekeleza ripoti ya TJRC iwapo atashinda uchaguzi

Mgombea urais wa NASA Raila Odinga anaahidi kuitekeleza kikamilifu ripoti ya TJRC iwapo atachaguliwa kuliongoza taifa Agosti nane. Akiongea baada ya kukutana na badahi ya waathiriwa wa visa vya unyanyasaji hapa Nairobi, Raila ameilaumu serikali kwa kuitelekeza ripoti hiyo iliolenga kuwapa haki waathiriwa wa Kwa sasa Raila anaongoza mkutano wa kujipigia debe kaunti ya Murang’a ambapo amewahutubia wenyeji wa Kenol na kuwoamba kuunga mkono azma yake kuliongoza taifa alivyofanya mwaka 2002 alipofanya kazi na rais mstaafu Mwai Kibaki.Hata hivyo, Raila na ujumbe wake wameendelea kupata pingamizi kutoka kwa wenyeji wa kaunti hiyo inayoaminika kuwa ngome ya Jubilee huku seneta Johnston Muthama akilazimika kukatiza hotuba yake.

Show More

Related Articles