HabariMilele FmSwahili

William Ruto asifia utendakazi wa Jubilee

Naibu rais William Ruto ameendelea kusifia utenda kazi wa Jubilee akisema miradi iliotekelezwa imebidili maisha ya wakenya. Akihutubia wenyeji wa Ekerenyo Nyamira, naibu rais amesema Jubilee imefanikisha miradi kadhaa ya barabara,umeme na elimu ikilinganishwa na serikali za awali. Amewarai wenyeji wa Nyamira kujitokeza kwa wingi Agosti nane na kuichagua Jubilee katika eneo la Manga kaunti ya Kisii, Ruto ameendelea kushtumu upinzani kwa kutatiza uchaguzi wa Agosti nane. Anasema upinzani hauko tayari kwa uchaguzi.

Show More

Related Articles