HabariMilele FmSwahili

Maandamano ya wahadhiri kufanyika kila Alhamisi

Maandamano ya wahadhiri kufanyika kila Alhamisi hadi serikali itakapotoa shilingi bilioni 10 walizoahidiwa. Wakiongozwa na mwenyekiti wao Muga Kolale wahadhiri hao wanasema shilingi bulioni 10 walizotengewa na serikali kama alivyosema waziri Fred Matiangi zimetumika vingine.

Show More

Related Articles