HabariMilele FmSwahili

Misa ya wafu ya GG Kariuki inaendelea sasa hivi

Misa ya wafu kwa ajili ya mwendazake GG Kariuki inaendelea hivi sasa katika kanisa la St Andrews PCEA hapa Nairobi. Mwanasiasa huyo aliaga dunia mwezi uliopita kutokana na matatizo ya moyo. Familia yake imemuenzi kuwa mtu aliyependa familia yake na aliyetilia maanani umuhimu wa elimu.

Show More

Related Articles