HabariMilele FmSwahili

Wafanyibiashara Eldoret wakashifu wafuasi wa Mandago kwa kumfurusha Buzeki

Baadhi ya wafayibiashara na wakazi wa mjini Eldoret wamewakashifu wafuasi wa  Gavana Jackson Mandago waliomfurusha mwaniaji kiti cha ugavana  Zedekia  Buzeki kutoka kwa mjadala  ulioratibiwa kufanyika kati yake na gavana Mandago hapo jana . Gavana Mandago  amekashifu kitendo hicho   na kusema mjadala  huo uliolenga kujadili maswala  ya uwekezaji na baishara   kaunti hiyo  ungekua na manufaa makubwa.

Show More

Related Articles