HabariMilele FmSwahili

Misa ya wafu ya GG Kariuki kuandaliwa leo

Misa ya wafu kwa ajili ya seneta GG Kariuki pia inaandaliwa hii leo. Ibada hiyo itaandaliwa katika kanisa la St Andrews hapa Nairobi. Atazikwa kesho nyumbani kwake kaunti ya Laikipia kesho

Show More

Related Articles