HabariMilele FmSwahili

Eugene Wamalwa na Ababu wawakemea viongozi wa NASA kwa kuipotosha jamii ya Waluhya

Waziri wa maji Eugene Wamalwa na mbunge wa Budalangi Ababu Namwamba wamewakemea vikali vinara wa NASA Musalia Mudavadi na Moses Wetangula kwa madai ya kupotosha jamii ya waluhya kuunga mkono mrengo wa NASA. Wakiongea katika eneo bunge la Budalangi wawili hao wamedai Wetangula na Musalia wamepoteza dira ya kisiasa. Waitaka jamii hiyo kuunga mkono azma msimamo wao kuunga mkono serikali ya Jubilee.

Show More

Related Articles