HabariMilele FmSwahili

Jubilee kupeleka kampeini zake kaunti ya Kisii

Naibu rais William ruto atazuru kaunti za Kisii na Nyamira leo kukitafutia kura chama cha Jubilee. Ruto atahutubia mikutano miwili katika maeneo ya Ekerenyo na uwanja wa Manga huko kitutu Masaba kaunti ya Nyamira. Baadaye ataelekea kaunti ya Kisii akiratibiwa kuhutubia umma katika maeneo Nyaribari chache na Bomachoge Borabu. Ruto anatarajiwa kutumia ziara hiyo kuwashawishi wakazi katika eneo hilo linalofahamika kuwa ngome ya upinzani kuunga mkono Jubilee

Show More

Related Articles