HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Maafisa wa usalama wampa pole mjane wa marehemu Nkaissery

Maafisa kutoka Wizara ya Usalama wa Taifa wakiongozwa na Katibu katika wizara hiyo Dkt Karanja Kibicho hii leo walimtembelea Hellen Nkaisssery nyumbani kwake mtaani Karen.

Maafisa hao akiwemo Inspekta Jenerali wa Polisi Joseph Boinett walimtaja marehemu Jenerali Joseph Nkaissery kama kiongozi aliyeipenda nchi yake na aliye kuwa tayari kuitumikia kwa hali na mali.

https://www.youtube.com/watch?v=SqyzgGh1YkA

Show More

Related Articles