HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mfanyibiashara Nyeri alazimika kutumia kuku wa mganga

Wakaazi wa eneo la Mathira Kaunti ya Nyeri wameachwa vinywa wazi baada ya mfanyibiashara  mmoja kuamua kutumia uganga ili kuwanasa wahalifu ambao wamekuwa wakivamia kwake mara kwa mara.

Cha kushangaza  ni kuwa jogoo amewekwa kwenye paa la nyumba yake ambapo jogoo huyo anazunguka kona moja hadi nyingine huku ikitazamiwa kwamba wezi hao watapatikana baada ya siku saba.

https://www.youtube.com/watch?v=3a6BWuZZkB4

Show More

Related Articles