Elections 2017HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Vinara wa NASA waondoka Kabarnet baada ya kuzomewa na umati

Muungano wa NASA hii leo umetua Kaunti ya Baringo katika jitihada za kujipigia debe katika maeneo hayo.
Hata hivyo, muungano huo ulipata mapokezi baridi katika eneo la Kabarnet, baada ya wenyeji kutowaskiza huku wakiimba nyimbo za Jubilee na kuchoma mabango ya NASA.
Ni hali iliyowalazimu viongozi wa NASA kukatiza hotuba zao na kuondoka Kabarnet na kuelekea Eldama Ravine walikoendelea na kampeni zao.

https://www.youtube.com/watch?v=O-90Mui6bVw

Show More

Related Articles