Elections 2017HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Rufaa iliyowasilishwa na IEBC kusikizwa siku ya Ijumaa

Rufaa ya kesi inayozingira utata wa uchapishaji wa karatasi za kura ya wadhifa wa urais iliyowasilishwa mbele ya mahakama ya rufaa na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka IEBC itasikizwa ijumaa hii kuanzia saa tatu unusu asubuhi.
 
Rais wa Mahakama ya Rufaa Paul Kihara hata hivyo ameuruhusu upande wa upinzani NASA ulioongozwa leo na Wakili Ben Sihanya kuwasilisha rufaa mbadala kupinga msukumo wa IEBC wa kupendekeza uamuzi wa mahakama  kuu kubatilishwa.

https://www.youtube.com/watch?v=wDF6LPUk-iM

Show More

Related Articles