Elections 2017HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Rais Uhuru afungua kiwanda cha bia na daraja Kisumu na Mbita

Rais Uhuru Kenyatta na Naibu wake William Ruto hii leo walipeleka kampeini zao katika Kaunti za Homabay na Kisumu, ikiwa ni maeneo ngome ya mrengo wa upinzani NASA.
Na kando na kufungua miradi kadha ya kimaendeleo, Kenyatta na Ruto waliwahisi wenyeji wa kaunti hizio mbili kuwaangalia kwa jicho la huruma wakati wa uchaguzi, na kuwapa angalau kura chache kutoka maeneo hayo.
Hata hivyo,  kama anavyotuarifu Kiama Kariuki, Naibu wa Rais William Ruto alikuwa na wakati mgumu kuhutubia umati katika baadhi ya maeneo, kwani wengi, walitaka kumsikia Rais Kenyatta tu.

https://youtu.be/fOkTpLHNzEU

Show More

Related Articles