HabariMilele FmSwahili

Rais Kenyatta afungua rasmi mashindano ya riadha chipukizi Kenya

Rais Uhuru Kenyatta kwa sasa anafungua rasmi mashindano ya ridhaa baina ya chipukizi duniani. Mashindano hayo yanaandaliwa katika uwanja wa Kasarani hapa Nairobi, ambako sherehe za ufunguzi zinaendelea. Mashindani hayo yatakamilika jumapili.

Show More

Related Articles