HabariMilele FmSwahili

Wanahabari 3 wa Citizen wajeruhiwa katika ajali ya ndege

Wanahabari wa kampuni ya Citizen waliokuwa wameabiri ndege ndogo ulioanguka muda mfupi uliopita katika eneo la Kibra Nairobi wanapokea matibabu. Mkuu wa kitengo cha usalama wa ndege za polisi Rodgers Mbithi anasema ndege hiyo ya watu 6 ilianguka baada ya kupaa angani kutoka uwanja wa ndege wa Wilson. Wanahabari hao walikua wakielekea Kabarnet kwa mkutano wa NASA

Show More

Related Articles