HabariMilele FmSwahili

Waathiriwa wa virusi vya HIV Kisumu waanza kutumia dawa mpya ya kupunguza makali

Takriban watu elfu 2 wanaoishi na virusi vya ukimwi kaunti ya Kisumu wameanza kutumia dawa mpya za kupunguza makali ya virusi hivyo. Dawa hizo zilizozinduliwa hivi maajuzi na serikali zinanuia kuwasaidia wagonjwa ambao dawa za awali za ARVS zimekosa kuwasaidia. Yakijiri hayo serikali ya marekani imetoa ufadhili wa takriban shilingi milioni 10 kuyasaidia makundi ya watu wanaoishi na virusi hivyo kujikimu kimaisha.ufadhili huo ukilenga mashirika 10 ya kijamii.

Show More

Related Articles