HabariMilele FmSwahili

Vigogo wa NASA wawarai wenyeji wa Baringo kuwaunga mkono

Vigogo wa muungano wa NASA wameendelea kuwarai wenyeji wa Baringo kuwaunga mkono katika uchaguzi wa Agosti nane. Wakiwahutubia wenyeji wa Baringo mjini Kabarnet,wana NASA wakiongozwa na mgombea urais Raila Odinga na mgombea mwenza Kalonzo Musyoka wameahidi kuwahudumia wakenya wote kimaendeleo iwapo watachaguliwa. Japo mapokezi yameonekana kutokua mema kwa wana NASA wameelezea imani ya kuibuka na ushindi Agosti nane.

Show More

Related Articles