HabariMilele FmSwahili

Wakenya kupata data kutoka kaunti zote kupitia tovuti iliyozinduliwa na CRA

Wakenya wataweza kupata data kutoka kaunti zote 47 kupitia tovuti iliyozinduliwa leo na tume ya ugavi wa raslimali CRA. Mwenyekiiti wa CRA Jane Kiringai anasema data hizo zitasaidia  serikali kwenye mipango yake kuweka bajeti na uwajibikaji. Anasema awamu ya kwanza kwenye mpango huo  imejumuisha kaunti za Nairobi, Nyeri, Migori ,Kwale na Wajir.

Show More

Related Articles