HabariMilele FmSwahili

Rais Kenyatta: Kisiwa cha Migingo ni mali ya Kenya

Kisiwa cha Migingo ni mali ya Kenya. Ndilo hakikisho la Rais Uhuru  Kenyatta anayesema mazungumzo ya kumaliza mzozo baina ya Kenya na Uganda kuhusu mmiliki halisi wa kisiwa hicho yanaendelea. Akiwahutubia wakaazi wa Mbita kaunti ya Homa Bay,Rais Kenyatta amewataka kuwapuuza wanaoeneza uvumi serikali imeachia Uganda umiliki wa kisiwa hicho. Rais amewaomba wenyeji kudumisha amani kabla na baada ya uchaguzi mkuu.

Show More

Related Articles