HabariMilele FmSwahili

Wauguzi kutoka bonde la ufa waandama mjini Eldoret

Wauguzi wanaogoma katika kaunti tatu za Rifty valley wameandamana mjini Eldoret kushinikiza serikali kutekeleza mkataba wao. Wauguzi hao kutoka kaunti za Elgeiyo Marakwet Nandi na Uasingishu wameapa kutorejea kazini hadi matakwa yao yaangaziwe. Hali sawa imeshuhudiwa Machakos na Mombasa wauguzi wakimtaka rais Kenyatta kuingilia kati.

Show More

Related Articles